Hakika hakuna aliyemtumaini BWANA na akaaibika, watumishi wa MUNGU, Emmanuel na mkewe Flora Mbasha, wamefanikiwa kufanya huduma huko Scotl...

Hakika hakuna aliyemtumaini BWANA na akaaibika, watumishi wa MUNGU, Emmanuel na mkewe Flora Mbasha, wamefanikiwa kufanya huduma huko Scotl...
Barikiwa rafiki, uliyoshindwa fikia mwaka 2012 BWANA akupe baraka zake ili uweze timiza 2013.. kumbuka KUSALI kila wakati na mshukuru MUN...
Raia wawili wa Misri wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa, kwenye shambulio liliotekelezwa dhidi ya kanisa moja la Coptic mjini Misr...
Vijana wengi wamepewa sauti nzuri na uwezo mkubwa wa kutunga, lakini ajabu wanatumia vipaji vyao kwa kuimba ya dunia...OLE WAKO! Tazama ...
Wakristo kote Duniani, kila ifikapo tarehe 25/Desemba huwa ni muda wa kukumbuka kuzaliwa kwa Bwana wetu MASIAH...YESU KRISTO WA NAZARETI! ...
Ellinah Wamukoya ameteuliwa kuwa askofu wa kwanza wa kike wa kanisa la Kianglikana barani Afrika. Akiongea muda mfupi baada ya kuteul...
"Iron Dome" ni mmojawapo ya kinga nyingi inayomilikiwa na Israel, na inayotumika dhidi ya makombora. Mfumo huo unatumia ...
Israel imesema kwamba Waisraeli watatu wameuwawa na kombora lililofyatuliwa kutoka Ukanda wa Gaza. Inasema kombora hilo lilianguki...
Jeshi la Nigeria linasema kuwa polisi watatu wameuawa katika mashambulizi yaliyofanyika usiku kucha dhidi ya kituo cha polisi Kaskaz...
Askofu wa Durham, Justin Welby, ambaye pia ni mfanyakazi wa zamani katika sekta ya mafuta, anatarajiwa kutajwa kama askofu mpya wa......
Mchungaji Meshack Bent Dongwe wa Parish ya Mbezi kwa Yusuph (KLPT) ambaye juzi tarehe 05-Novemba-2012, ametimiza miaka 61. Kwa kumshukuru...
Papa mpya ni Askofu Tawadros Kanisa la Copt la Misri limemchagua papa mpya atayewaongoza Wakristo wanaokisiwa kuwa milioni-8 nchini M...
Le’Andria Johnson baada ya kupata mtoto, kutoa album na pia kuwa na muonekano mpya!! Sasa Le’Andria ameteuliwa kuwania kugombea tuzo tatu...
Hayati Pope Shenouda.. Baraza la maaskofu wa Kikopti nchini Misri, linatarajiwa kumpigia kura mrithi wa papa Shenouda wa tatu aliye...
Naomba maoni yako TAFADHALI.... BE BLESSED!
Daktari Denis Mukwege akitembelea wagonjwa! Mtetezi maarufu wa wathiriwa wengi wa ubakaji katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo am...
Rais Omary Al-Bashir wa Sudan ya Kaskazini...... Shambulizi dhidi ya kiwanda cha Sudan liliwaua watu wawili,Sudan imesema kuw...
Imeandikwa "asiyefanya kazi na asile" kama mpendwa una kipaji, basi kitumie.. fanya vile ambavyo unaweza, lakini katika yote ku...
Wanaitwa Blind Boys of Alabama, kundi la muziki wa gospel, ambalo lilianzishwa mwaka 1939 huko Taladega Alabama USA. Ambapo waimbaji wat...
Wapiganaji wawili wa kundi la Hamas wameuwa na wengine kujeruhiwa huko Gaza na kombora la andani lililorushwa na wanajeshi wa Israel. ...
KIRK FRANKLIN MARY MARY Wow! Hongera kwa Kirk Franklin na Mary Mary kwa sababu wamechaguliwa kuwa waendesha shu...
Hakika kila goti litapigwa, aliyekuwa mwanamuziki nguli katika muziki wa dansi Tanzania, ELISTONI ANGAI (pichani), ambaye kwa sasa ameokok...
Rais Dk.Jakaya M. Kikwete akiwa na Askofu Dk.Alex Malasusa , (picha na library..), salamu za maasakofu wa KKKT, ni hizi hapa chini...... ...
Ni baraka kweli kweli... mtoto mdogo kabisa kama huyu kuhubiri neno la MUNGU!!! Hakika kila goti litapigwa! Barikiwa, hebu muangalie na ums...
Hebu angalia mtoto huyu mdogo kabisa mwenye umri wa miaka mitano tu, lakini UWEZO wa MUNGU unaonekana kupitia kwake... ALELUYAHHHH... sikil...
Hakika ukiona jambo linakusumbua, basi suluhisho ni moja tu! SEMA NA BWANA YESU!
Wapiganaji wa kiisilamu wanaodhibiti sehemu za Kaskazini mwa Mali, wanajipatia pesa kutoka kwa biashara haramu ya mihadarati na kupit...
Papa Benedict wa kumi na sita, ametoa baraka zake kwa lugha ya kiarabu katika hotuba yake ya kila wiki kwa dunia nzima. Hotuba hiyo...
Hakika ni Baraka tupu.. ni mtoto kutoka kule Brasil!
Zaidi ya polisi ishirini wa Misri wamefariki kufuatia ajali ya barabarani, katika rasi ya Sinai, baada ya dereva wa gari lao kupoteza...
Wanamgambo wa kipalestina katika ukanda wa Gaza wamerusha makombora na mizinga kusini mwa Israeli. Makombora hayo yametua katika en...
Mwanaharakati mashuhuri dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini Askofu Desmond Tutu, amekabidhiwa tuzo maalum yenye thamani ya d...
Aliyekuwa bawabu wa Papa Benedict amerejea mahakamani katika kile kinachotarajiwa kuwa siku muhimu kabisa ya kesi yake mjini Vatican kw...
Graceeee....
Safarini kuelekea Pemba..unataka kuona picha zaidi?? gonga read more ...
Genereta na Aircondition.. sasa hii ni nyumba au...
Askofu mkuu anayestaafu Rowan Williams Jopo la wanachama wakuu wa kanisa la Kianglikana wanakutana leo kumchagua askofu mkuu mpy...
Jamaa anauwezo wa kuyahamisha macho! mh.. vipaji vingine bana.. Lakini pia huko ulaya, kuna ngazi ambazo zimeambatanishwa na.......
Sheria kali itakayowashurutisha waumini wa kikatoliki kulipa kodi ya kanisa la sivyo wanyimwe sakramento imepitishwa nchini Ujerumani...
Jumapili ya leo tarehe 23 septemba ni siku ya pekee na ya kukumbukwa kwa binti Grace Munis Habib, ambaye ni binti aliyeokoka, ana...
Mkesha mkubwa utafanyika leo, Ijumaa kuanzia saa tatu usiku pale kwenye Parish ya Mbezi Luis (KLPT). Mkesha huo utajumuisha..........
Maafisa wa utawala mjini Cairo, wameamuru kukamatwa kwa wakiristu saba wa kikopti raia wa Misri wanaoishi nchini Marekani kwa kuhusika ...
Anaitwa Emmy Kosgei kutoka kule Kenya, yeye ndiye mshindi kwenye kipengele cha wimbo bora wa mwaka kwenye tuzo za "Africa Gospel Music...
Le’Andria Jonhson muimbaji wa muziki wa injili huko kwa OBAMA, ameachia album ambayo ipo sokoni hivi sasa, lakini pia ameandaa “party” t...
ALELUYAH...
Uzinduzi wa album ya mwimbaji Sarah Mvungi, inayoitwa “NIACHENI NIMFUATE YESU” utafanyika mwezi wa kumi na moja tarehe kumi na moja. Na ...
Upendo Nkone akiimba wimbo uitwao "Mwambie Yesu" katika tamasha la ANBC huko Columbus Ohio, USA. Tumeambiwe twende kote tukawafa...
Albamu mpya ya Muimbaji Faraja Ntaboba sasa iko katika mfumo wa Video.........itafute katika maduka yote nchini upate kuwa wa kwanza kui...
MARVIN SAPP, muimbaji nguli wa muziki wa injili huko USA, ameachia video yake kutoka katika “albamu” lake linalokwenda kwa jina la “I WIN...
Sheikh Hassan Nasrallah Mtu mmoja Kaskazini Magharibi mwa Pakistan ameuwawa kwa kupigwa risasi katika tukio la hivi punde kwenye maan...
Chansela wa Ujerumani, Angela Merkel, amesema kuwa serikali yake itampiga marufuku mhubiri mmoja tatanishi kuingia nchini humo....
Upendo Nkone ni mwimbaji wa muziki wa Injili Tanzania. Anaimba nyimbo za Mungu na anasauti kubwa sana na kwaya yake wanaweza vizuri ku...
Ijumaa ya tarehe 21 mwezi huu wa tisa, kutakuwa na mkesha mkubwa na mzuri wa maombi. Katika parish ya KLPT Mbezi Luis, ambapo parish zote ...
Kuna filamu nyingi ambazo wapendwa tunaangalia, lakini geukia upande huu pia kuna filamu nzuri zenye mafundisho, tafuta hizi! kama kuna nyin...