Ndege hiyo ya mizigo ilikuwa imebeba SHEHENA ya Miraa ama milungi kuelekea Mogadishu Nchini Somalia.
Barabara ya Estern Bypass jijini Nairobi imefungwa kwa muda huku msongamano mkubwa wa magari ukishuhudiwa.
Basi la kwanza nchini Uingereza linalotumia kinyesi na uchafu unaotokana na chakula limeanza safari yake ya kwanza. Bio Bus,lenye viti 40 na amba...Read more
Timu ya soka ya Ivory Coast huenda ikakabiliwa na vikwazo baada ya mashabiki wake kuvamia uwanja mjini Abidjan baada ya kupata fursa ya kuwakil...Read more
Mtu mmoja ameripotiwa kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika mapigano katika mji wa Mombasa pwani ya Kenya. Polisi walipambana na vijana wali...Read more
Ripoti kutoka Magharibi mwa Afrika zinasema kuwa sherehe za Eid Ul Adhaa zimeathiriwa vibaya na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola. Nchini Guinea maeneo ...Read more
Mwanamke mmoja nchini Sweden amejifungua mtoto kutokana na kizazi alichowekewa kupitia upasuaji. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 36 alizaliwa b...Read more
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.