Malala na mmoja wa wazazi wa wasichana waliotekwa nyara Nigeria.....
Mwanaharakati mwenye umri mdogo
raia wa pakistan Malala Yousafzai anatarajiwa kukutana na rais wa
Nigeria Goodlack Jonathan mjini Abuja hiii leo kushinikiza kuchukuliwa
hatua zaidi ili kuwakoa wasichana wa shule waliotekwa na kundi la
wanmgambo wa Boko Haram mwezi April.
Tayari mwanaharakati huyo ashakutana na familia za wasichana hao kuonyesha uzalendo wake kwao.Boko Haram wametoa kanda ya video ya kusuta kampeni za kutaka kuachiliwa wasiha hao mabpo kundi limetaka kuachiliwa kwa wapiganaji wake.
Malala alipigwa risasi kichani na kundi la Taliban nchini Afghanistan alipokuwa akipigania elimu kwa wasichana.
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.