Takriban watu 63 wamefariki baada ya treni iliyokuwa imebeba abiria kupoteza mwelekeo Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya C...
Takriban watu 63 wamefariki baada ya treni iliyokuwa imebeba abiria kupoteza mwelekeo Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya C...
Watu wanne, wakiwemo maafisa wawili wa polisi, wameuawa jana usiku mjini Nairobi baada ya gari walilolizuia kulipuka, lilipokuwa likiele...
Marekani imeonya Urusi dhidi ya matamshi yake makali kuhusu Ukraine. Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo John Ker...
Kumezuka mapigano kati ya jeshi la polisi na wakaazi wenye hasira usiku kucha katika mojawapo ya viunga vya mji wa Rio de Janeiro. ...
Mchezaji wa klabu ya Ac Bongoville,Sylvain Azougoui amefariki baada ya kupigwa teke la kichwani wakati wa mechi ya ligi kuu nchini Gab...
Meneja wa klabu ya Manchester United David Moyes ametimuliwa. David Moyes amefutwa kazi baada ya kushikilia usuk...
Mvulana mmoja mwenye umri wa miaka 16 amenusurika kifo kwa maajabu baada ya kujificha na kusafiri katika gurudumu la ndege iliyokuwa i...
Mbunge mmoja ameuawa katika shambulizi la bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari mjini Mogadishu Somalia. Kundi ...
Mjadala umezuka nchini Rwanda ambapo baadhi ya wananchi wanataka kurejeshwa kwa hukumu ya kifo nchini kufuatia kesi dhidi ya mwanamme ...
Wanahabari wanne wa Ufaransa walioachiliwa baada ya kutekwa nyara na wanamgambo nchini Syria karibia mwaka mmoja uliopita wamewasili n...
Wanawake nchini Venezuela wanatumia kemikali haramu kuongeza ukubwa wa makalioyao na kujiletea madhara makubwa ya kiafya ...
Maafisa wawili wa polisi nchini Misri wameuawa kufuatia shambulizi la risasi katika barabara kati ya mji wa Cairo na mfereji wa Suez. ...
Kamishna wa elimu katika jimbo la Borno nchini Nigeria amesema kuwa wasichana 14 zaidi wamefanikiwa k...
Jamii ya wasomali waishio nchini Uingereza wanaotafuna mmea wa Miraa wameelezea hasira yao baada ya serikali ya Uingereza kuthibitisha...
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ametishia kuwafukuza kutoka nchini humo wanadiplomasia wanaopigia debe mapenzi ya jinsia moja. ...
Mamake mwathiriwa alimzaba kofi mtuhumiwa na kisha kumasamehe dakika chache kabla ya kunyongwa ...
Waokoaji wamefaulu kuingia ndani ya feri iliyozama... Naibu wa tatu wa nahodha...
Mkuu wa idara ya kijasusi ya Saudi Arabia, Prince Bandar Bin Sultan, ameondolewa kutoka wadhifa huo kufuatia kile kinachoelezwa kuwa ...
Wazazi wa takriban watoto miamoja waliotekwa nyara na watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa kundi la Boko Haram wameingia msituni kuwat...
Mwanamume aliyemuua kwa kumkata kichwa mpenzi wake amepatikana na hatia ya mauaji nchini Uingereza Aras Hussein a...
Polisi nchini Argentina wamemwokoa msichana mwenye umri wa miaka kumi na mitano ambaye alifungiwa katika chumba cha kuegesha magari n...
Wananchi wa Algeria leo wanapiga kura kumchagua Rais mpya. Rais wa sasa Abdelaziz Bouteflika anawania kwa muhula wa nne. ...
Kiongozi wa jimbo lenye idadi kubwa ya watu nchini Australia,New South Wales, amejiuzulu baada ya kukosa kutangaza kuwa alipata zawadi...
Idara ya polisi mjini New York Marekani, imefunga kitengo chake maalum cha ujasusi ambacho huwapepeleza waisilamu ili kuchunguza kama ...
Polisi nchini Nigeria wanasema kuwa shule ya mabweni ya wasichana imeshambuliwa katika jimbo la Borno Kaskazini Mashariki mwa nchi hiy...
Oparesheni ya uokozi inaendelea kufuatia ishara za dharura zilizoripotiwa kutoka meli moja iliyobeba takriban abiria 460 katika pwani ...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni,amemkabidhi mfalme wa Buganda mali ambayo ufalme huo ulipokonywa mnamo miaka ya sitini. Mali hiyo ambayo...
Wanaume wanaovua mashati wamepigwa marufuku kuitembelea bustani ya mapumziko na kujivinjari ya Adventure Island. ...
Mahakama ya juu zaidi nchini India imetoa uamuzi wa kihistoria unaotambua watu waliobadilisha jinsia yao kama watu wa kawaida katika j...
Balozi wa Jordan nchini Libya ametekwa nyara mjini Tripoli, katika shambulizi ambalo limemwacha dereva wake na majeraha mabaya. ...
Mwanamuziki mashuhuri nchini Rwanda pamoja na mwanahabari mmoja wamekamatwa kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na kundi la upinzani pamoja ...
Mama Margaret Kenyatta mke wa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, amekuwa mwanamke wa kwanza mama wa taifa kushiriki mbio za London Marathon...
Ni visa mbavyo wengi tulivisikia katika hadithi za kale, watu kuliwa na majitu, lakini katika siku za karibuni tumeshuhudia watu wakil...
Kwa kweli Duniani kuna mambo, hivi inakuwaje mtoto wa miaka tisa ashtakiwe kwa makosa ya mauaji!!?? Mtoto huyu anaitwa Mussa Khan, ambay...
Milipuko miwili imetokea katika kituo cha mabasi katika vitongoji vya mji mkuu wa Nigeria, Abuja, na kuna taarifa ya watu wengi kujeru...
Balozi wa Zimbabwe nchini Nigeria ameitwa akajieleze kwa sababu ya matamshi ya Rais Robert Mugabe kuhusu rushwa. ...
Nchini Ukraine, watu wasiojulikana wameliteka jengo la idara ya polisi katika mji wa Slaviansk, mashariki mwa Ukraine. ...
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, amewaombea radhi makasisi wa kanisa hilo waliowakosea watoto kwa kuwalawiti. ...
Mwanamume mmoja aliyekuwa mfanyakazi wa benki nchini Uingereza, amefungwa maisha jela kwa kumuua mke wake. Jasvir...
Wafanyakazi raia wa Kenya wa mashirika ya misaada ya kibinadamu ambao walikuwa wametekwa na wapinaji wa kiislamu wa Al shabaab mwaka 2...