Mmoja wa mapadre waandamizi wa
kanisa katoliki nchini Uingereza amejiuzulu wadhifa wake kufuatia shutma za
kwamba alikwenda......
kinyume na matakwa ya kipadre mapema miaka ya themanini.
Kardinal Keith O'Brien ameachia
madaraka kama kiongozi mkuu wa kanisa katoliki nchini Scotland na hatarajii
kusafiri kwenda Vatican baadaye mwaka huu kumchagua Papa ajaye baada ya baba
Mtakatifu Benedict wa 16 kijuzuru.
BBC imeelezwa kuwa kiongozi
huyo,ameshutumiwa na mapadre watatu wa kanisa hilo na hatua hiyo ya kujiuzulu
ni tukio kubwa katika mwenendo wa kanisa katoliki ikizingatiwa kuwa Kanisa hilo
limekuwa kwenye shutma za ulaji rushwa na matatizo ya kiongozi kwa siku za hivi
karibuni.
Inaarifiwa Padre O'Brien
aliwauvinjia heshima makasisi mingo mitatu iliyopita.
Hata hivyo, mwishoni mwa wiki,
alisema kuwa anapinga vikali madai hayo.
Duru zinasema kuwa hatua ya kujizulu
kwa padre huyo kunaongeza shinikizo kwa makadinali wengine wanaokabiliwa na
tuhuma za walivyoshughulikia kashfa za ngono…
|
0 comments:
Post a Comment