Rais wa Nigeria Goodluck Jonathana ameagiza shule zote na ofisi za serikali katika mji mkuu wa Abuja nchini humo zifungwe wakati wa si...
Rais wa Nigeria Goodluck Jonathana ameagiza shule zote na ofisi za serikali katika mji mkuu wa Abuja nchini humo zifungwe wakati wa si...
Maafisa wanaoongoza juhudi za kuitafuta ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea ikiwa njiani kwenda China, wamesema kuwa shughuli ya kuitaf...
Maafisa wa mji wa Shivpur nchini India wamejikuta matatani kwa kuwataka watu wanaomiliki bunduki kuwapiga risasi Nguruwe wanaotembea o...
Meya wa mji mkuu wa Canada Toronto, Rob Ford anayekumbwa na utata anatarajiwa kuacha kazi kwa muda ili kupata usaidizi kwa tatizo lake...
Mwanasiasa mmoja mwakilishi wa Wodi, nchini Kenya ameshitakiwa kwa madai ya kumtusi Rais Uhuru Kenyatta katika mkutano wa kisiasa ulio...
Hatua ya serikali ya Ethiopia kuwakamata wanablogu 9 imezua hasira kwenye mitandao ya kijamii Wanablogu haomaarufu...
Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Zimbabwe, Morgan Tsvangirai aliyetimuliwa kutoka katika uongozi wa chama chake cha MDC amesema k...
Watu waliokuwa wamejihami walivamia majengo ya bunge nchini Libya Jumanne jioni na kulazimisha wabunge kusitisha shughuli ya kumteua w...
Serikali ya Brunei iliyo Kusini Mashariki mwa Bara Asia, itaanza kutumia sheria kali za kiisilamu. Kiongozi wa nc...
Serikali ya Kenya imelalamikia serikali ya Italia kuhusu tukio la mwanariadha mkenya kuanguka katika mkondo wa mbio za Marathon. ...
Sheria inayoruhusu wanaume kuoa wake zaidi ya mmoja, imepitishwa nchini Kenya. Rais Uhuru Kenyatta ametia saini s...
Shirikisho la mchezo wa vikapu nchini Marekani, linachunguza madai kuwa mmiliki wa klabu ya Los Angeles Clippers, Donald Sterling, ali...
Wasafiri nchini Uingereza wamekumbwa na changamoto ya usafiri baada ya wafanyakazi wa treni kugoma. Chama cha waf...
Afisaa mmoja wa polisi mwanamke nchini Kenya amepewa onyo kali kwa kuvalia sketi iliyokuwa imembana kiasi cha kuonyesha umbo lake. ...
Swala a tata la uba...
Serikali ya Kenya imelalamika kuwa haikupewa taarifa zozote kuhusu dawa za kulevya zilizonaswa na wanajeshi wa Australia wanaoshika do...
NAJUA WAJUA NAMI NAKUJUZA WEWE UNAYETAKA KUJUA MENGII YA DUNIA, Kumbe hata Bungeni watu huruhusiwa kunywa pombee: Na hii inatokea kule nc...
Jaji wa mahakama nchini Misri, amewahukumu kifo watu 683 akiwemo kiongozi wa kundi la Muslim Brotherhood Mohammed Badie. ...
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amekuwa akiongoza sherehe za kutimiza miaka 20 ya demokrasi na kumalizika kwa utawala wa ubaguzi wa r...
Umati mkubwa wa watu wamekusanyika mjini Vatican kushuhudia tukio la kihistoria ambapo viongozi wawili wa zamani wa Kanisa Katoliki, P...
Chama cha upinzani nchini Zimbabwe cha Movement for Democratic Change MDC kimesema kimemsimamisha kiongozi wake Morgan Tsvangirai kwa ...
Watu kadhaa wameripotiwa kufariki baada ya kutokea mkanyagano katika tamasha la kumkumbuka mwanamuziki maarufu wa Congo King Kester Em...
Wakenya wanakabiliwa na tisho la kufungwa jela mwaka mmoja au kulipa faini ya dola 23,000 kwa kukosa kumuita mbunge 'mheshimiwa...
Mahakama moja ya kiisilamu katika jimbo la Kano nchini Nigeria, imemkuhuku kifo mzee mwenye umri wa miaka 60 kwa kupigwa mawe hadi afe...
Mlinzi mmoja nchini Afghanistan amewaua kwa kuwapiga risasi madaktari 3 raia wa Marekani wanaofanya kazi katika hospitali moja mjini K...
Jarida la People limemtangaza Mkenya Lupita Nyong’o kama mwanamke mrembo zaidi duniani mwaka 2014. Lupita ambaye...