Waokozi wakiwa kazini... |
Muokozi akiwa anuvuta mwili uliondani ya maji.. |
Meli ya uokozi ikiwa eneo la tukio.. |
Hawa ni ndugu zetu waliofanikiwa kupanda juu ya mgongo wa meli ili kujiokoa.. |
![]() |
Baadhi ya wananchi wakiwa viwanja vya Maisara kwenda kuangalia au kutambua miili ya wapendwa wao.. |
![]() |
"jamani tusaidieni" ndivyo wanavyoonekana wakisema wapendwa hawa.. |
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.