![]() |
Kijana! huyu binti hana kovu lolote.. ndivyo anavyoonekana kusema kaka wa Grace wakati wa utoaji wa barua ya kuomba uchumba.... |
![]() |
Mh.. kaka yako amenitisha unajua..? |
![]() |
Sunday Dongwe, huyu ni kaka wa Kasheba akipata chakula wakati wa utoaji wa barua hiyo.. |
![]() |
Hapa sasa ni kanisani, barua si tumeshatoa? asa kwa nini tusitangaze? |
![]() |
Aaah turudi kwenye utoaji wa barua..kushoto na kulia ni wajomba wa binti Grace, na wakatikati ni kaka! |
![]() |
Mama mkubwa wa Grace, akipata chakula.. |
![]() |
Mh.. mama yetuuu...! aah.. huyu ni mama yake Kasheba! |
![]() |
Lazima tumalize shughuli yetu kwa maombi.. ndio! |
![]() |
Kulia ni Mch.Dongwe ambae ndie baba wa Kasheba, alafu mjomba a'ke kisha mashemeji zake! |
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.