Tamasha la Ipende Tanzania litaandaa usiku wa siku mbili maonyesho maalumu kutoka kwa baadhi ya wasanii maarufu wa kikristo.
Tamasha lililopita liliwahusisha Nicole C. Mullen, Building 429, na Papa San.
Wasanii wenyeji
Wenye vipaji, wasanii wenyeji wataifa watasaidia kufanya kila tamasha kuwa la kipekee. Wasanii wa Kitanzania watatajwa baadae.......BARIKIWA......
|
Home
»
»Unlabelled
» TAMASHA LA IPENDE TANZANIA 11-12 AUGUST, DAR-ES-SALAAM
Recent Posts
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MAONI YAKO HAPA
MARAFIKI
WANAO NITEMBELEA
66206
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.