"UTUKUZWE YEHOVA" Ndivyo anavyoonekana akisema Frola Mbasha, hapa ilikuwa Marekani.. kwenye ziara ndefu ya mafanikio, endelea kufuatilia blog hii kwa taarifa zaidi kuhusu matokeo ya ziara hiyo.. |
Mr& Mrs Emmanuel Mbasha wakiwa wamepozi kwa picha, hapa ilikuwa kulee kwa OBAMA (USA) |
Wamependeza kwa mavazi yenye ushuhuda, MBASHA team wakiwa kazini pamoja na Frola Mbasha.. |
Ona umati huo, shetani ulaaniwe humpati mtu yeyote kati yao.. PRAISE THE LORD! MBASHA TEAM wakiwa kazini |
AAaah.. Ndivyo anavyoonekana akisema muimbaji Frola Mbasha.. wakati vijana wakiwa katika step kaliii.. |
Mr & Mrs Emmanuel Mbasha wakiwa jukwaani.... SIFA NA UTUKUFU NI KWA BWANA.. |
Mr. Emmanuel Mbasha akishambulia jukwaa.. |
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.