Move Tour 2012 for MyLache Concerts LLC
Baada ya kusikiliza na kuangalia wimbo huu, hakika maisha yako yabadilike.. Lakini pia waimbaji wa muziki wa injili jitahidini kufanya kazi nzuri zaidi, MUNGU awabariki kwa kazi zenu.. mmebadilisha maisha ya watu wengi sana.. hakika malipo yenu yanawangoja!
Hapana sio wimbo, ni vipande vya waimbaji tofauti, wakati wa TOUR.. Nice work Dude..
ReplyDeleteClick to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.