![]() |
Michezo ya Baiskeli itakuwapo! USIKOSE.. |
![]() |
Zaidi ya futi sita juu, uuh.. uje ujionee mwenyewe! |
![]() |
Unafikiri atakosea awakanyage? Mhh.. usisubiri kuhadithiwa! |
![]() |
Oooh.. My GOD! Juuuu... |
![]() |
Mie sitasubiri kuhadithiwa mambo haya, nitakwenda! lakini pia nitaweka matukio yote mahali hapa! |
![]() |
Juu kwa juu... Shaaaa... |
![]() |
Kumbuka ni bureee, pale viwanja vya Jangwani mwezi wa nane tarehe 11 na 12! |
![]() |
Jamaa anageuka nayo hewani hiyo basikeli! |
![]() |
Maombezi yatakuwapo.. |
![]() |
Hivi ni vipeperushi vya tamasha, umeshawahi kuviona? |
![]() |
Tafadhali usikose! Njoo ukutane na YESU! |
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.