Mch.Bent Dongwe, ambaye pia ni baba mkwe akinikabidhi binti yake tayari kwa ibada ya ndoa (KLPT-Parish ya Mbezi Luis) |
Mzee wa kanisa (Emmanuel) akiongoza kikundi cha sifa kumtukuza BWANA wakati tukiingia kanisani |
Best man.. wajina wangu Emmanuel akiwa kazini wakati nikijibu maswali kutoka kwa Mchungaji Job Sembucha |
Wow.. kama malaika.. |
Lazima utoe ahadi huku ukimtazama usoni....eeeh! ili umaanishe |
Sawa mama nakusikiliza.. |
Na kwa pete hii, naomba iwe alama na ukumbusho kwako juu ya ahadi niliyoitamka leo mbele ya madhabahu takatifu..AMEN! |
OOOoo Lord help me out |
Shusha mkono basii.. mwenzio sifikii! |
Ewaa.. hapo sawa! imekaa mahala pake.. |
NAKUPENDA WANGU.. |
Asanteni watumishi wa Bwana kwa kutukabidhi mbele zake.. |
Mch.Job Sembucha yeye ndie aliyetufungisha ndoa yetu.. |
"alichokiunganisha YEHOVA binadamu kamwe asikitenganishe" maneno ya Mchungaji sio yangu jamani.. |
Ilikuwa kama ndoto.. mwenye gauni jekundu hapo mbele kushoto ni mdogo wangu wa mwisho anaitwa, Theresia Likuda |
Mh......ndio! |
Wow... |
Aaah.. ulipendezaje wangu.. |
Babako sasa... yaani sterling ndio anaingia..Bwana Yesu apewe sifa.. |
Mh...aya! |
Ngoja nikufute dadako yuko busy.. |
Eeeh mama! siondoki.. |
Mr &Mrs Emmanuel Likuda |
Lets dance peoples.. wache wafurahi... |
Kwaito sasa,,,, mie simo! |
Hawa nao eti wamechoka..! |
Mama Lisa, Beatrice na Lilian Nsimbo.. rafiki za mke wangu.... |
Siku ya kitchen party, Aika (mama Lisa) akipumzika baada ya kupanga zawadi ukumbini.. |
Happy (mama Emma au chris..) mdogoake mke wangu.. |
Mambo ya kitchen party.. |
Set-up ya kitchen party.. |
Keki ya kitchen party.. ndio ni kitanda! |
On the stage.... |
Hata mie nilikuwepo kwenye, kitchen party.. |
Thats my family.. mzee Likuda mwenye tai ya njano na kushoto kwake ndio mother..! |
Tulikaribishwa, alafu na sie tukakatalia palepale.. kutoka left.. Aika, Bahati (balotel), mie na Edwin Robert |
Hii ni send off.. pole sikukutaarifu hapo kabla... |
Mke wangu ana drama.. HATARIIII.. Hapa ni kwenye send off wakati anaingia ukumbini sasa.. |
Body guards.... kushoto ni Cuthbert Dongwe na kulia ni Kasheba Dongwe! Her brothers... |
Thats family.. "walinzi" wa mbele ni cathbert na kasheba, wakati nyuma ni Sunday na Lembo.. Dada akiwa na kaka zake etii..mh.. |
sawa.... angalieni step hizo.. |
Anapokelewa... |
With her wasimamizi... |
Keki.. |
Mie nililetewa samaki kitu cha "migebuka" eeehh.. mama si anatokea Kigoma |
Eeeh.. si nikabebwa.. |
Hata sielewi napelekwa wapi..aa Basi sawa! |
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.