Michezo ya Baiskeli itakuwapo! USIKOSE.. Zaidi ya futi sita juu, uuh.. uje ujionee mwenyewe! Unafikiri atakosea awakanyage? Mhh....

Michezo ya Baiskeli itakuwapo! USIKOSE.. Zaidi ya futi sita juu, uuh.. uje ujionee mwenyewe! Unafikiri atakosea awakanyage? Mhh....
Itakuwapo michezo mbalimbali siku hizo, ni tarehe 11 na 12 Agosti, pale viwanja vya Jangwani! USIKOSE..
Nyoosha mikono na usifu kama uko hai...BWANA ASIFIWE! Utakuwa ni wakati mzuri sana wa kuwa jirani na YEHOVA! ALELUYAH... Ua...
Kijana! huyu binti hana kovu lolote.. ndivyo anavyoonekana kusema kaka wa Grace wakati wa utoaji wa barua ya kuomba uchumba.... Mh....
Hapa ilikuwa kwenye kitchen party.. Sunday na mkewe... Unataka kulia nini sasa, si umesema unataka jiko BROTHER..? Aaaagh.. ...
Tamasha la ipende Tanzania, litafanyika tar. 11 na 12 mwezi wa nane (agosti), katika viwanja vya Jangwani jijini Dar-Es-salaam! Nakukaribi...
Waokozi wakiwa kazini... Muokozi akiwa anuvuta mwili uliondani ya maji.. Meli ya uokozi ikiwa eneo la tukio.. Hawa ni ndugu...
Abiria kadha wafariki katika ajali ya MV Stargate Zanzibar.. Watu zaidi ya 100 wanasadikiwa wamepoteza maisha katika ajali ya meli iliy...
Meli ya Star Gate ikizama Shughuli ya kutafuta maiti kwenye ajali ya meli iliyozama nchini Zanzibar ilianza leo mapema huku w...
GOSPEL HOUSE OF TALENT KWA KUSHIRIKIANA NA COSAD TANZANIA, WAMEANDAA TAMASHA KUBWA KWA AJILI YA KUWAAGA IMUKA SINGERS WALIOALIKWA KWENDA M...
Takriban watu 30 wamefariki dunia baada ya meli iliyokuwa imewabeba abiria zaidi ya mia mbili na hamsini kuzama karibu karibu na kisiwa ...