Balozi wa Malawi nchini Tanzania Bi Flossie Gomile Chidyaonga amefariki dunia mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam akipelekwa hospit...
Balozi wa Malawi nchini Tanzania Bi Flossie Gomile Chidyaonga amefariki dunia mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam akipelekwa hospit...
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limesikitishwa na hatua ya kutekwa nyara kwa zaidi ya wasichana 200 wa shule nchini Nigeria na k...
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry anasema Marekani itafanya kila iwezalo ili kufanikisha kuachiwa huru kwa wasichana 276 wal...
Ugomvi wa mara kwa mara baina ya wapenzi, marafiki ama hata jamii unaongeza hatari ya kufa kwa watu wenye umri wa makamo.Haya ni kwa m...
Waziri mkuu wa zamani wa Italia, Silvio Berlusconi amewasili katika makao ya wazee ya kanisa katoliki karibu na mji wa Mila kuanza kut...
Mazungumzo ya ana kwa ana kati ya viongozi wanaozozana nchini Sudan Kusini, Rais Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar, yanatara...
Muigizaji mashuhuri wa Hollywood nchini Marekani, Shailene Woodley, mapema wiki hii aliwashangaza watu alipofichua kuwa yeye hula ud...
Benki ya Barclays ya Uingereza imepanga kupunguza wafanyakazi 19,000 ifikapo mwaka 2016, kati yao elfu kumi wakiwa wafanyakazi wa benk...
Mashirika ya kutoa misaada yameonya kuwa zaidi ya watoto 50,000 wa Somalia wenye matatizo ya utapia mlo wamo katika hatari ya kufa, mi...
Chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress kinaongoza katika uchaguzi wa kihistoria uliofanyika Jumatano. ...
Wakuu wa serikali nchini Nigeria wamejitetea vikali kuhusiana na shutma za kushindwa kukabiliana na wimbi la mashambulizi kutoka kwa k...
Katika hatua ambayo haikutarajiwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ametoa wito kwa makundi yanayotaka kujitenga wanaounga mkono Urusi K...
Klabu ya soka ya Ufaransa iliyo katika ligi ya daraja ya pili, Clermont,imemteua mwanamke raia wa Portugal Helena Costa kama kocha wak...
Mahabusu wa Gereza Kuu la Mkoa wa Arusha, kaskazini mwa Tanzania, Jumanne walisababisha vurugu katika viwanja vya Mahakama ya Hakimu M...
Wakaazi wa kijiji kimoja Magharibi mwa Sri Lanka wamesema kuwa wameshangazwa na pia kufurahishwa na tukio la 'kunyeshewa' na m...
Marekani imetangaza kwamba imetuma kikosi cha wataalamu nchini Nigeria kusaidia kuwatafuta wasichana takriban 200 wa shule waliotekwa ...
Tume huru ya uchaguzi nchini Africa Kusini-IEC imejiandaa vyema kufanya uchaguzi wa kitaifa na wa majimbo unaofanyika Jumatano, Mei 7. ...
Mwanamke aliyekuwa kinara wa mtandao uliokuwa unawaingiza watoto wadogo katika biashara ya ngono amehukumiwa kifungo cha miaka 12 jela...
Watu zaidi ya hamsini na tano wamefariki katika maeneo mbali mbali nchini Kenya baada ya kunywa pombe 'haramu'. ...
Kundi la wapiganaji wa kiislamu nchini Nigeria la Boko Haram limesema linapanga kuwauza wasichana zaidi ya miambili ambao liliwateka n...
Simu ya mkononi iliyokuwa imeibwa, ilituma ujumbe mfupi na picha ya mwizi wa simu hiyo kuonyesha kuwa ndiye mmiliki wake. ...
Ingawa Abdel Fattah al Sisi, bado hajawa Rais, kiongozi huyo wa zamani wa jeshi anasema kuwa anafahamu kwamba analengwa na kundi la wa...
Mwanaharakati mwanamke aliyekuwa akiongoza maandamano nchini Nigeria kushinikiza serikali ya nchi hiyo kuwaokoa wasichana 200 waliotek...
Hukumu inatarajiwa kutolewa baadaye leo kwenye kesi inayowahusu wanajeshi 39 wanaotuhumiwa kuendesha ubakaji na uhalifu wa kivita nchi...
Watu kadhaa wamehofiwa kufariki na wengine kujeruhiwa kufuatia milipuko miwili katika mji mkuu wa Kenya Nairobi ambayo imelenga mabasi...