Mkuu wa idara ya kijasusi ya Saudi Arabia, Prince Bandar Bin Sultan, ameondolewa kutoka wadhifa huo kufuatia kile kinachoelezwa kuwa ...
Mkuu wa idara ya kijasusi ya Saudi Arabia, Prince Bandar Bin Sultan, ameondolewa kutoka wadhifa huo kufuatia kile kinachoelezwa kuwa ...
Wazazi wa takriban watoto miamoja waliotekwa nyara na watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa kundi la Boko Haram wameingia msituni kuwat...
Mwanamume aliyemuua kwa kumkata kichwa mpenzi wake amepatikana na hatia ya mauaji nchini Uingereza Aras Hussein a...
Polisi nchini Argentina wamemwokoa msichana mwenye umri wa miaka kumi na mitano ambaye alifungiwa katika chumba cha kuegesha magari n...
Wananchi wa Algeria leo wanapiga kura kumchagua Rais mpya. Rais wa sasa Abdelaziz Bouteflika anawania kwa muhula wa nne. ...
Kiongozi wa jimbo lenye idadi kubwa ya watu nchini Australia,New South Wales, amejiuzulu baada ya kukosa kutangaza kuwa alipata zawadi...
Idara ya polisi mjini New York Marekani, imefunga kitengo chake maalum cha ujasusi ambacho huwapepeleza waisilamu ili kuchunguza kama ...
Polisi nchini Nigeria wanasema kuwa shule ya mabweni ya wasichana imeshambuliwa katika jimbo la Borno Kaskazini Mashariki mwa nchi hiy...
Oparesheni ya uokozi inaendelea kufuatia ishara za dharura zilizoripotiwa kutoka meli moja iliyobeba takriban abiria 460 katika pwani ...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni,amemkabidhi mfalme wa Buganda mali ambayo ufalme huo ulipokonywa mnamo miaka ya sitini. Mali hiyo ambayo...
Wanaume wanaovua mashati wamepigwa marufuku kuitembelea bustani ya mapumziko na kujivinjari ya Adventure Island. ...
Mahakama ya juu zaidi nchini India imetoa uamuzi wa kihistoria unaotambua watu waliobadilisha jinsia yao kama watu wa kawaida katika j...
Balozi wa Jordan nchini Libya ametekwa nyara mjini Tripoli, katika shambulizi ambalo limemwacha dereva wake na majeraha mabaya. ...
Mwanamuziki mashuhuri nchini Rwanda pamoja na mwanahabari mmoja wamekamatwa kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na kundi la upinzani pamoja ...
Mama Margaret Kenyatta mke wa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, amekuwa mwanamke wa kwanza mama wa taifa kushiriki mbio za London Marathon...
Ni visa mbavyo wengi tulivisikia katika hadithi za kale, watu kuliwa na majitu, lakini katika siku za karibuni tumeshuhudia watu wakil...
Kwa kweli Duniani kuna mambo, hivi inakuwaje mtoto wa miaka tisa ashtakiwe kwa makosa ya mauaji!!?? Mtoto huyu anaitwa Mussa Khan, ambay...
Milipuko miwili imetokea katika kituo cha mabasi katika vitongoji vya mji mkuu wa Nigeria, Abuja, na kuna taarifa ya watu wengi kujeru...
Balozi wa Zimbabwe nchini Nigeria ameitwa akajieleze kwa sababu ya matamshi ya Rais Robert Mugabe kuhusu rushwa. ...
Nchini Ukraine, watu wasiojulikana wameliteka jengo la idara ya polisi katika mji wa Slaviansk, mashariki mwa Ukraine. ...
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, amewaombea radhi makasisi wa kanisa hilo waliowakosea watoto kwa kuwalawiti. ...
Mwanamume mmoja aliyekuwa mfanyakazi wa benki nchini Uingereza, amefungwa maisha jela kwa kumuua mke wake. Jasvir...
Wafanyakazi raia wa Kenya wa mashirika ya misaada ya kibinadamu ambao walikuwa wametekwa na wapinaji wa kiislamu wa Al shabaab mwaka 2...
Marekani imelaani kile imekitaja kuwa hatua ya Urusi kutumia kaiwi(gas) kama chombo cha kuishurutisha Ukraine. Ms...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ametunukiwa Tuzo ya Utumishi Bora wa Umma Barani Afrika katika sherehe ...
Amini usiamin. Bodi la gari hili aina ya Hiace lenye namba za usajili T921 BME limetengenezwa kwa mbao aina ya mlingoti na pine. L i...
Serikali ya Tanzania imefutilia mbali usajili wa shirika moja lisilokuwa la kiserikali kwa sababu ya kuhamasisha mapenzi ya jinsia moj...
Kampuni kubwa ya uundaji na uuzaji wa magari ya Japan, Toyota imeagiza magari milioni sita na nusu...
Kiongozi wa operesheni ya kuitafuta ndege ya Malaysia ya MH370 iliyotoweka mwezi mmoja uliopita, Angus Houston wa Australia, amesema k...
Mahakama moja nchini Misri imewahukumu watu wanne kifungo cha hadi miaka minane jela kwa kosa la vitendo vya kufanya mapenzi ya jinsia...
Mti wenye umri wa zaidi ya miaka 6000, uliopo huko Afrika ya Kusini, ambao ndani yake kumetengenezwa Bar yenye uwezo wa kuhudumia watu z...
Timu ya taifa ya Ta...
Ndio wimbo unaorindima ndani ya mioyo ya mashabiki wa Arsenal. Hii ni baada ya kuchapwa 3 na Everton jana. ...
Mwimbaji maarufu wa taarabu nchini Kenya Muhammad Khamis Bhallo amefariki dunia katika mji wa Mombasa nchini Kenya . ...
Oscar Pistorius akiwa amejaa majonzi ameanza kujitetea katika kesi ya mauaji inayomkabili kwa kuiomba radhi familia ya Reeva Steenkamp...
Rwanda inaadhimisha ...
Wezi wa mifugo we...
Waziri mkuu nchini Mali Oumar Tatamy Ly pam...
Alex Ferguson ametumia zaidi ya miaka 39 kwenye mchezo wa mpira wa miguu, lakini sasa baada ya kutangaza kuachana rasmi na mchezo huo wa ...
Paris inapata meya wake wa kwanza mwanamke lakini chama chake tawala cha Socialistics kilipata kipigo katika mzunguko wa pili wa uchagu...
Polisi mjini Nairobi wanachunguza kisa cha mwanafunzi mmoja wa kidato cha tatu anayedaiwa kumuua mwenzake kwa kumdunga kisu. Tukio hil...
NAJUA WAJUA NAMI NAKUJUZA WEWE UNAYETAKA KUJUA MENGII YA DUNIA.. Kumbe kuku nao kama ilivyo kwa binadamu, pindi pale wanapolala basi nao ...
Ikulu ya Whitehouse imeikashifu kampuni ya simu ya Samsung kwa kutumia picha ya Rais Barack Obama aliyojipiga na mchezaji maarufu nchi...