Kijana! huyu binti hana kovu lolote.. ndivyo anavyoonekana kusema kaka wa Grace wakati wa utoaji wa barua ya kuomba uchumba.... Mh....
Kijana! huyu binti hana kovu lolote.. ndivyo anavyoonekana kusema kaka wa Grace wakati wa utoaji wa barua ya kuomba uchumba.... Mh....
Hapa ilikuwa kwenye kitchen party.. Sunday na mkewe... Unataka kulia nini sasa, si umesema unataka jiko BROTHER..? Aaaagh.. ...
Tamasha la ipende Tanzania, litafanyika tar. 11 na 12 mwezi wa nane (agosti), katika viwanja vya Jangwani jijini Dar-Es-salaam! Nakukaribi...
Waokozi wakiwa kazini... Muokozi akiwa anuvuta mwili uliondani ya maji.. Meli ya uokozi ikiwa eneo la tukio.. Hawa ni ndugu...
Abiria kadha wafariki katika ajali ya MV Stargate Zanzibar.. Watu zaidi ya 100 wanasadikiwa wamepoteza maisha katika ajali ya meli iliy...
Meli ya Star Gate ikizama Shughuli ya kutafuta maiti kwenye ajali ya meli iliyozama nchini Zanzibar ilianza leo mapema huku w...
GOSPEL HOUSE OF TALENT KWA KUSHIRIKIANA NA COSAD TANZANIA, WAMEANDAA TAMASHA KUBWA KWA AJILI YA KUWAAGA IMUKA SINGERS WALIOALIKWA KWENDA M...
Takriban watu 30 wamefariki dunia baada ya meli iliyokuwa imewabeba abiria zaidi ya mia mbili na hamsini kuzama karibu karibu na kisiwa ...
Tamasha la Ipende Tanzania litaandaa usiku wa siku mbili maonyesho maalumu kutoka kwa baadhi ya wasanii maarufu wa kikristo. Tam...
"UTUKUZWE YEHOVA" Ndivyo anavyoonekana akisema Frola Mbasha, hapa ilikuwa Marekani.. kwenye ziara ndefu ya mafanikio, e...
John Lissu “Nimeamka natetemeka na baridi vidole hata kupiga guitar vinashindwa na wenyeji wangu wanasema sasa ni wakati wa joto kali,...
Emmanuel Mbasha, ambaye ni mume na msimamizi wa muimbaji maarufu wa muziki wa INJILI Frola Mbasha, akiwa amepozi nnje ya ofisi za CLOUDS M...
Wanafanya kazi nzuri sanaa.. kwa kumuimbia Bwana YESU! wewe una lipi la zaidi ushindwe walau ktenga muda mchache tu kwa siku kuweza kumsifu...
Dada Damita, ameokoka na anamtukuza MUNGU kupitia kipaji chake.. angalia video hii itakufuraisha na kukufariji.. BARIKIWA..!
Baada ya kusikiliza na kuangalia wimbo huu, hakika maisha yako yabadilike.. Lakini pia waimbaji wa muziki wa injili jitahidini kufanya kazi...
muziki wa NJILI ni zaidi ya muziki.. zaidi ya kuburudisha lakini pia unaponya.. sikiliza na kuangalia wimbo huu na MUNGU akubariki sana..