Wednesday, February 26, 2014
0
Waziri wa Uwezeshaji na Uwekezaji kutoka ofisi ya waziri mkuu, Mh.Mary Nagu leo atakuwapo kwenye kipindi cha JAHAZI ambacho huanza kumi kamili za jioni hadi moja kamili za usiku, Clouds Fm. Ambapo atazungumzia kuhusu mambo mbalimbali, ikiwamo kuhusiana na siku ya wanawake hapo tarehe 3 Machi..
Tutumie maswali kuhusiana na wizara yake na hata kuhusiana na siku ya wanawake, nasi tutamuuliza kwa niaba yako mdau wa JAHAZI!!
Unaweza angalia kipindi cha JAHAZI leo kupitia www.cloudstv.com alafu unachagua channel namba mbili..

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA