Huenda umeshawahi kufaidika na huduma za kuletewa BIDHAA hadi NYUMBANI. Mathalani Chakula, Vinywaji na huduma nyinginezo. Labda nikuulize swali sasa.."UMEWAHI KUAGIZA ULETEWE CONDOM NYUMBANI KWAKO NA ZIKAKUFIKIA..!!??"
Sasa kuna Kundi la wafamasia nchini Uganda ambao wameibuka na ubunifu wa kipekee wa kutoa huduma ya condomu kwa kupiga tu simu yako ya mkononi.
Huduma hiyo inaitwa "DIAL A CONDOM"...yaani unapiga simu tu na kuagiza kuletewa Condom.
Na hawa jamaa hutoa nambari za simu zao ambazo wateja huweza
kupiga, kwa ahadi kuwa watapelekewa aina yoyote ya condom katika kipindi
cha dakika 15 au hata mapema zaidi ya hapo.
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.