Mtoto mwenye umri wa miaka sita, ameorodhesha vitu ambavyo angependa kuona kabla ya kupoteza uwezo wake wa kuona kutokana na ugonjwa u...
Mtoto mwenye umri wa miaka sita, ameorodhesha vitu ambavyo angependa kuona kabla ya kupoteza uwezo wake wa kuona kutokana na ugonjwa u...
Wanamuziki wawili wa bendi ya wanamuziki nchini Japan AKB48 wamejeruhiwa vibaya baada ya kushambuliwa na shabiki wao mmoja kwa kutumia...
Rais Joyce Banda wa Malawi ameamuru kusitishwa mara moja kwa shughuli ya kuhesabu kura na kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu wa nchi h...
Nyota wa Atletico Madrid Diego Costa amerejea mazoezini leo kujifua tayari kwa fainali ya kombe la mabingwa bara Uropa dhidi ya Real Mad...
Mkwezi wa milima mirefu ameokolewa kutoka futi 80 bondeni alipoandika ''Nahitaji msaada'' katika mtandao wa Facebook ...
Mahakama ya kimataifa ya jinai ICC imemhukumu kiongozi wa zamanai wa wanamgambo waasi katika Jamuhuri ya kidemokrasi ya Kongo, Germain ...
Watu wawili wamejeruhiwa katika mlipuko uliotokea mjini Mombasa pwani ya Kenya. Miongoni mwa wawili hao ni afisa w...
Sasa polisi nchini Nepal wameagizwa kuwa wapole na wenye tabasamu haswa wanapotangamana (kuchanganyika) na raia wa taifa hilo. ...
Mwanamke mmoja, wa miaka 25, aliyepotea miaka 10 iliyopita, amewaambia polisi kuwa alilazimika kuolewa na aliyemteka nyara na kisha ku...
Walimu nchini Nigeria wanafanya maandamano ya siku moja kushinikiza serikali kuharakisha juhudi zake za kuwatafuta wasichana waliotekw...
Naibu waziri wa serikali za mitaa wa Malawi amejipiga risasi na kujiua nyumbani kwake mjini Lilongwe. Godfrey Kam...
Wanawake wanaokula udongo wakiwa wajiwazito wamo katika hatari ya kuwafanya watoto watakowajifungua kutofanya vizuri shuleni. ...
Utafiti uliofanywa nchini Uingereza unaonyesha kuwa Mbu wameanza kuvamia maeneo mbali mbali ya nchi hiyo. Mabadil...
Katika Umri wa miaka 85, Sheila Vogel-Coupe ni kahaba mkongwe zaidi nchini Uingereza na kwa umri huo bado anaweza kutengeneza Paun...
Rais aliyeondolewa madarakani nchini Misri, Hosni Mubarak amehukumiwa jela miaka mitatu. Wanawe wawili Alaa na Ga...
Ilikuwa tarehe 21 mwezi wa 5 mwaka 1996, wakati ambapo nchi nzima ya Tanzania ilizizima kwa SIMANZI na MAJONZI. Wakati Rais Benjamin Mkap...
Mwanamume aliyefungwa jela kwa miaka kumi na saba kimakosa ameombwa radhi nchini Uingereza. Mwanamume huyo alihuk...
Nchini Uganda mahakama imempata na hatia muuguzi mwenye HIV, aliyeshitakiwa kwa kumdunga mtoto mchanga sindano, ambayo awali ilimchoma...
Raia wa Malawi wanafanya uchaguzi mkuu hii leo katika uchaguzi ambao wagombea kumi na mmoja wanawania kiti cha urais dhidi ya rais Joyc...
Kundi moja la wanawake walio na hisia za kimapenzi na mapadre wa kikatoliki wamemuandikia barua kiongozi wa kanisa katoliki duniani Pa...
Makubaliano yamefikiwa nchini Syria ili kuwarusu wanafunzi wanaoishi katika kambi ya wakimbizi inayoshuhudia mapigano makali ya Yarmou...
Maandalizi kwa ajili ya uchaguzi Mkuu wa Malawi yamekamilika huku wagombea kumi na mbili wakikabana koo kuwania kiti cha urais wa nchi ...
Hebu tafakari rais wa nchi kuchezea klabu ya kandanda inayoshiriki ligi ya taifa ya daraja la kwanza ? Klabu m...
Bomu lililolipuka katika mji wa Kano kaskazini mwa Nigeria limewaua watu 6 na kuwajeruhi wengine wengi. Shambulio...
Makumbusho mapya yanayoeleza yale yaliyotokea wakati wa mashambulizi ya Septemba 11 litafunguliwa kwa watu wote wiki ijayo baada ya kuf...
Wanajeshi nchini Nigeria, wamemfyatulia risasi kamanda wao mkuu katika mji wa Maiduguri Kaskazini Mashariki mwa nchi. ...
Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja amenusurika kifo baada ya kuanguka kutoka orofa ya 11 ya jengo moja mjini Minnesota Marekani. ...