Wapiganaji wanaoshukiwa kuwa wanachama wa Boko Haram wamewateka nyara wanawake 20 kutoka jamii inayohamahama Kaskazini Mashariki mwa N...
Wapiganaji wanaoshukiwa kuwa wanachama wa Boko Haram wamewateka nyara wanawake 20 kutoka jamii inayohamahama Kaskazini Mashariki mwa N...
Viongozi wa kimataifa wanakutana jijini London kwa wiki nzima, kwa kongamano la kumaliza dhulma za kimapenzi katika mataifa yanayokabil...
Wanaume saba wamekamatwa nchini Misri, baada ya kushukiwa kuwadhulumu kiongono wanawake katika sherehe za Jumamosi za kumkabidhi ras...
Pakistan Taliban yakiri kutekeleza mashambulizi Karachi. ...
Cameroon sasa wameenda Brazil baada ya mzozo kuhusu marupurupu yao kutatuliwa. Wachezaji hao , almaarufu 'Indo...
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amelazwa hospitalini kwa uchunguzi wa kiafya . Taarifa hii ni kwa mujibu wa maaf...
Viongozi wa mashitaka nchini Brazil , wanachunguza madai kuwa viungo vya miili vinatolewa kwa miili ya watu wasiojulikana na kuuzwa...
Maafisa wa polisi nchini Brazil wametumia gesi ya kutoa machozi ili kuwatawanya waandamanaji katika siku ya pili ya mgomo wa wafanyika...
Mwandaaji mmoja wa mazishi nchini Afrika Kusini,anadaiwa kuwaagiza wafanyakazi wake kuikata miguu ya maiti moja aliyodai kuwa ndefu sa...
Je unaweza kula nyama ya mifugo waliolishwa Funza? Kufuga Nguruwe, Kuku, Samaki kwa kuwalisha funza, kunatarajiwa kubadili tuna...
Bunge la jimbo la jiji la Nairobi nchini Kenya limepiga kura kuwaondoa makahaba katikati mwa mji mkuu. Waakilish...
Watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa kundi la Boko Haram, wameshambulia wanakijiji karibu na mji wa Maiduguri Kaskazini Mashariki mwa ...
Kuna vyama vya kisiasa na vya mambo mengine katika nchi mbalimbali, lakini Je umewahi kusikia chama cha wanaume kuwarithi wajane...
Mwanamke mmoja nchini Kenya ameamrishwa na mahakama kumlipa mumewe shilingi elfu tatu au dola 35 kama hela za kukidhi mahitaji yake na...
Serikali ya Brazil inapendekeza kuwapa nyongeza ya asilimia 15.8 mishahara polisi wake ili wasigome wakati wa ufunguzi wa michuano ya ...
Wanasayansi nchini Uingereza wanasema kuwa inawezekana kwa wao kuwazalisha watoto kutoka kwa wazazi watatu katika kipindi cha miaka mi...
Msanii muigizaji kutoka Kenya Lupita Nyong'o ameteuliwa kuijiunga na mabingwa wengine wa kimataifa katika filamu maarufu zaidi dunia...
Maelfu ya watu wamehudhuria sherehe za kukabidhiwa mamlaka kwa Rais mpya Peter Mutharika. Bwana Mutharika, alishi...
Mfalme wa Uhispania Juan Carlos anaachia mamlaka, waziri mkuu Mariano Rajoy ametangaza. Juan Carlos, mwenye umri ...
Mwanawe gwiji wa soka Brazil na duniani kote, Pele, Edinho Pele, amefungwa jela miaka 33 kwa kufanya biashara haramu ya pesa au kujipa...
Viongozi wa Mataifa mbalimbali wanatarajiwa kuhudhuria sherehe za kumkabidhi madaraka rais mpya wa Jamhuri ya Malawi hii leo. ...
Utafiti uliofanywa na shirika moja la misaada Uingereza umeonesha kuwa ubakaji unatumiwa tena kwa kiasi kikubwa gerezani kama adhabu k...
Madai mapya ya ufisadi yameibuka dhidi ya shirikisho la soka duniani FIFA kuhusiana na utata uliosababisha taifa la Qatar kupewa rukhs...
Makasisi wawili kutoka nchini Italy pamoja na mwanamke mmoja raia wa Canada waliotekwanyara na kundi la Boko Haram nchini Cameroon wam...
Donald Sterling amefungua kesi akiwashitaki NBA, na huku akitaka alipwe fidia ya Dola Bilioni moja. Kwa madai kwamba kuzuiwa kwake kue...