Ilikuwa tareha 11 septemba ya mwaka 2001, ambapo watu 19 wanaohusika na kundi la Al-Qaeda waliteka ndege nne za abiria, na kuzitumia k...
Ilikuwa tareha 11 septemba ya mwaka 2001, ambapo watu 19 wanaohusika na kundi la Al-Qaeda waliteka ndege nne za abiria, na kuzitumia k...
"Video ya Albamu yangu mupya iitwayo "Amenitoa mbali" imekamilika, Mungu ambariki sana prodyuza wangu Brayance Works, Has...
Ni furaha kila sehemu baada ya mchungaji Youcef Nadarkhani kuachiwa huru kutokana na kesi ya kuhubiri Injili (uinjilisti) kwa waislamu i...
Tuzo za kumi na nane, zitatolewa septemba 24, huko Georgia World Congress Center Atlanta,watakao performers for the show are Canton Jone...
Shirika la kuwahudumia wakimbizi la umoja wa mataifa, UNHCR, limeomba Israel kuruhusu kikundi cha wahamiaji wa kiafrika kutoka Eretria k...
Kwa bwana YESU, kila goti litapigwa!
Jaji nchini Pakistan amemwachilia kwa dhamana msichana mmoja wa kikristo aliyekuwa ameshtakiwa kwa kosa la kukufuru dini ya kiisilamu.
Rimsha Masih Kesi ambayo msichana mmoja wa kikristo alikamatwa nchini Pakistan chini ya sheria tatanishi ya kukufuru dini, imeakhirishwa ...
Pastor HEZEKIAH.. Mamake Ezekiel na babake wa kambo ni wachungaji wa kanisa la 'Fullness of time' huko Maryland kanisa ambalo wal...
Parish ya Mbezi tunapenda wageni, hapa tulikuwa tukimkaribisha mchungaji THOMASI MTEBI...
Askofu Desmond Tutu , mtetezi mkubwa wa haki za binadamu... Askofu mstaafu wa Afrika Kusini, Desmond Tutu, ambaye pia ni mwanaharakati m...
Baraka za MUNGU hushuka kwa wale wanaozitafuta, wenzetu kule Marekani wanamuziki wa Injili wanashirikiana sana, tena kikubwa zaidi wanashi...
Nchini Saudi Arabia tayari kuna vyuo vikuu, afisi na hata migahawa inavyowatenganisha watu kutokana na jinsia zao. Kwa sasa tayari mji mm...
Wanamuziki nguli katika kazi ya MUNGU, Kirk Franklin, Marvin Sapp, Donnie McClurkin na Israel Houghton kwa pamoja wamewaomba mashabiki wote...
Vatican imeamuru bawabu wa zamani wa Baba Mtakatifu Benedict ashtakiwe kwa wizi wa nyaraka za siri kutoka ofisi binafsi ya Baba Mtakatifu. ...
Miili ya wtu waliouwawa na wapiganaji wa "BOKO HARAM" huko Nijeria
Polisi nchini Malaysia, wanasema kuwa mtoto mwenye umri wa miaka mitatu alifariki nyumbani kwao wakati familia yake ikimfanyia tambiko...
Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwa nini kila siku kukicha mabalaa yanaongezeka? jibu ni rahisi sana, "WATU HAWANA HOFU YA MUNGU"....
Rais wa Misri , Mohammed Mursi, ameahidi kuwa vikosi vya usalama vya Misri, vitachukua uthibiti kamili wa rasi ya Sinai baada ya shambulio ...